Kundi la Waislamu ambao hawafungi wala kuswali swala tano

Wanaamini kila kazi – iwe kulima mashamba chini ya jua kali, kujenga shule, au kutengeneza bidhaa – ina umuhimu wa kiroho. Kwao kazi ni tendo la kiroho, na ni aina ya ibada.