Kundi la Waarabu UN lapinga kufurushwa Wapalestina Gaza

Kundi la Waarabu katika Umoja wa Mataifa, pamoja na kundi la mabalozi wa Umoja wa Mataifa, wamepinga vikali mipango yoyote ya “kuwaondoa kwa nguvu” Wapalestina huko Gaza, na kusisitiza kuwa hatua hiyo ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.