Sayyid Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ya kutochukua hatua kutokana na ukwamishaji mambo wa Marekani na waungaji mkono wengine wa Magharibi wa Israel kuwa ndio sababu kuu ya kuendelea jinai, chokochoko na vitendo visivyo halali vya utawala haramu wa Kizayuni.
Related Posts
🔴Habari za Saa, Saa Nne na Dakika 55, 06 Agosti 06, 2024
🔴Habari za Saa, Saa Nne na Dakika 55, 06 Agosti 06, 2024 Post Views: 37
🔴Habari za Saa, Saa Nne na Dakika 55, 06 Agosti 06, 2024 Post Views: 37
🔴KUMEKUCHA, 06 Agosti 2024
🔴KUMEKUCHA, KAMPENI YA UZAZI NI MAISHA, 06 Agosti 2024 Post Views: 42
🔴KUMEKUCHA, KAMPENI YA UZAZI NI MAISHA, 06 Agosti 2024 Post Views: 42
#HABARI: Serikali Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, kupitia kwa wataalam wa afya katika mpaka wa Tanzania na Kenya Holili, zime…
#HABARI: Serikali Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, kupitia kwa wataalam wa afya katika mpaka wa Tanzania na Kenya Holili, zimeanza kuchukua…
#HABARI: Serikali Wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, kupitia kwa wataalam wa afya katika mpaka wa Tanzania na Kenya Holili, zimeanza kuchukua…