Kukiri viongozi wa Kizayuni kuwa wameshindwa na Muqawama kwenye vita vya Ghaza

Baada ya kupita saa chache tu tokea kutangazwa usitishaji mapigano katika vita vya Ghaza, viongozi wa Kizayuni wamekiri kuwa wameshindwa na Muqawama wa Palestina katika vita hivyo.