Kukimbia wanajeshi wa Marekani San’a ni ushindi mkubwa kwa Yemen

Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kukimbia wanajeshi wanamaji wa Marekani mjini San’a ni ushindi mkubwa kwa wananchi wa Yemen na kusisitiza kuwa, kukimbia wanajeshi hao vamizi wa Marekani ni ishara ya kushindwa mradi wa kupenda kujitanua Washington nchini Yemen.