Kujipa Marekani hadhi ya kipekee; mtazamo haribifu wenye madhara kwa dunia na hata kwa Marekani yenyewe

Kujiona Marekani nchi ya kipekee yenye hadhi na ubora kuliko mataifa mengine yote, ni sera ambayo imekuwa na matokeo hasi na yenye madhara kwa dunia na vilevile kwa Marekani yenyewe.