Kuhusika moja kwa moja Israel katika mapigano baina ya India na Pakistan

Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni vimeripoti kuwa mabilioni ya dola za India yaliyotumika kwenye ununuzi wa silaha kutoka kwa Israel yamechangia pakubwa katika vita vya wiki iliyopita dhidi ya Pakistan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *