Kuhudhuria kwa mara ya kwanza Iran vikao vya Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia (EAEU) ikiwa mwanachama mtazamaji

Baada ya Iran kukubaliwa mwanachama mtazamaji katika Umoja wa Kiuchumi wa Eurasia, Eurasian Economic Union (EAEU) mazingira mazuri yatakuwa yameandaliwa kwa ajili ya kustawishwa na kuongezea kwa kasi mabadilishano ya kibiashara na mashirikiano ya kiuchumi kati ya pande mbili, na kuongezeka manufaa zitakayopata pande zote mbili.