Kufa kwa heshima: Kuvunja miiko kuhusu wosia wa kifo cha huruma

Wosia hutoa fursi watu kuchagua huduma ya matibabu wanayotaka kupata ikiwa watapata ugonjwa mbaya.