Kuendelea upinzani mkubwa dhidi ya mpango wa Trump kuhamishwa kwa nguvu wakazi wa Gaza

Katika muendelezo wa upinzani mkubwa dhidi ya mpango wa Trump wa kuwahamisha kwa nguvu watu wa Gaza, mbali na Waislamu, Wakristo pia wamepinga na kulalamikia mpango huo na kuonya dhidi ya matokeo yake mabaya.