Kuanguka kwa Yoon Suk Yeol: Rais ‘mtata’ wa Korea Kusini mwenye jazba na msukumo wa kijeshi

Yoon alijulikana tangu akiwa mdogo kama mtu aliyejikita kwenye kushinda kwa gharama yoyote. Hakukubali kushindwa.