Kuakisiwa ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika vyombo vya habari vya kimataifa; Umma wa Kiislamu usimame dhidi ya jinai za Wazayuni

Ujumbe wa Nowruz wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu hususan matamshi yake kuhusiana na Ukanda wa Gaza, Lebanon, kadhia ya Palestina na Yemen umeangaziwa pakubwa na vyombo vya habari vya kimataifa vikiwemo vyombo vya habari vya eneo hili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *