Kremlin: Russia inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini ‘ikiwa italazimu’

Ikulu ya Russia, Kremlin imesema nchi hiyo inaweza kutoa msaada wa kijeshi kwa Korea Kaskazini chini ya makubaliano ya ushirikiano wa kimkakati yaliyotiwa saini kati ya nchi hizo mbili mwishoni mwa mwaka jana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *