Kosa ‘au njama ya kisiasa ya kufanya makubaliano na Putin: Jinsi sera ya kigeni ya utawala wa Trump ilichanganya ulimwengu

Viongozi wa Ulaya wanataharuki. Mkutano wao wa usalama ulioitishwa ghafla huko Paris Jumatatu ni uthibitisho wa hilo.