Korea Kaskazini yarusha kombora lisilojulikana (jeshi la Korea Kusini)

Korea Kaskazini imerusha angalau “kombora moja lisilojulikana,” jeshi la Korea Kusini limetangaza siku ya Alhamisi, Mei 8. 

Imechapishwa:

Matangazo ya kibiashara

Korea Kaskazini “imerusha kombora lisilojulikana katika Bahari ya Mashariki,” makao makuu ya majeshi ya Korea Kusini imesema, ikimaanisha bahari hiyo pia inajulikana kama Bahari ya Japani.

habari zaidi zinakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *