Kongo: Tutatoa kitita cha dola milioni 5 kwa atayesadia kutiwa nguvuni viongozi wa waasi

Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetenga donge nono la milioni 5 kwa yeyote atakayesaidia kukamatwa kwa viongozi watatu wa kundi la waasi ambalo limeteka sehemu kubwa ya mashariki mwa nchi hiyo mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *