Kombora jingine la Yemen lapiga Tel Aviv mapema leo Alkhamisi

Kombora jingine la Yemen lapiga Tel Aviv mapema leo Alkhamisi

Vyombo vya habari vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeripoti mapema leo Alkhamisi kwamba sauti za ving’ora vya tahadhari zimehinikiza katika maeneo mbalimbali ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, kufuatia kombora lililorushwa kutoka Yemen ili kupiga maeneo muhimu mno ya Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *