“Watu hawaamini kama nina uwezo wa kufundisha soka kwasababu tu siwezi kuona. Hilo linanipa wakati mgumu japo kama mwalimu wa mpira wa miguu inanipa nafasi ya kujiamini zaidi,” anaeleza Kocha wa timu ya Mfaranyaki City, Priver Ngonyani. BBC ilifika katika uwanja wa Mfaranyaki uliopo wilayani Songea, kusini mwa Tanzania kuzungumza naye.
Related Posts
Je, kubadilisha sheria kuhusu kujiua kutabadilisha mitazamo Kenya?
Katika miaka yake ya 30, Charity, kutoka Kenya, aligunduliwa kuwa na ugonjwa wa bipolar. Lakini badala ya kuruhusu mawazo yake…

Palestina yatoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni kuhusu kitongoji cha al-Bastan
Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imetahadharisha kuhuusu uharibifu huo kamili wa kitongoji cha al-Bastan cha Quds Tukufu inayokaliwa…

Araghchi: Iran inaitambua haki ya kujilinda kwa mujibu wa Hati ya Umoja wa Mataifa
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuzusha mivutano lakini inatambua haki yake ya kujilinda…