Kiuchumi kwenye makundi mbalimbali ya kijamii likiwemo kundi la wajasiriamali wanawake.
Pongezi hizo zilizoambatana na shukrani ya urejeshwaji wa mikopo ya asilimia 10 za halmashauri kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu zimetolewa na Mwenyekiti wa Jukwaa la Uwezeshaji Wajasiriamali Wanawake katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Rehema Sanga.
Imeandaliwa na @moseskwindi