Kitendawili… Papa ajaye atatoka Afrika au Asia?

Kifo cha kiongozi wa Kanisa Katoliki, Papa Francis kimeilazimisha Vatican kuitisha kongamano la kihistoria la kumchagua mrithi wake; lakini swali linaloulizwa ni kwamba, je, papa ajaye atatoka Afrika au Asia?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *