Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Muqawama wa Palestina umeilazimisha Israel kurudi nyuma

Baada ya kutangazwa makubaliano ya usitishaji vita huko Gaza, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Imam Ali Khamenei ametuma ujumbe kwenye mitandao ya kijamii na kuandika: Subira na kusimama kidete kwa wananchi na Muqawama wa Wapalestina vimeulazimisha utawala wa Kizayuni kurudi nyuma.