Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema katika mkutano na makamanda na wafanyakazi wa Kikosi cha Anga na cha Ulinzi wa Anga vya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwamba kufanya mazungumzo na Marekani si jambo la werevu, mantiki, wala heshima.