Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu: Iran inanyoosha mkono wa udugu kwa mataifa yote ya Kiislamu

Mapema leo Jumatatu, katika kikao na viongozi wa serikali, mabalozi wa nchi za Kiislamu na matabaka tofauti ya wananchi wa Iran, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya kislamu, Imam Ali Khamenei amesema kuimarika heshima ya Uislamu na kukabiliana na dhulma na uonevu wa madola makubwa vinategemea umoja na utambuzi wa Umma wa Kiislamu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *