Kiongozi wa Mapinduzi: Utawala fisadi wa Israel ni ‘kikosi cha niaba tu’ katika eneo, ni lazima ung’olewe

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, kikosi pekee cha niaba katika eneo hili ni utawala wa Kizayuni ambao unavamia nchi nyingine kwa niaba ya madola ya kikoloni ya dunia na ni “lazima ung’olewe.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *