Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Wito wa Trump wa kufanya mazungumzo na Iran ni ‘ulaghai’ tu

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema, wito wa Rais Donald Trump wa Marekani kwamba anataka kufanya mazungumzo na Iran si lolote bali ni jaribio la “kuhadaa maoni ya umma duniani” na kutaka kuonyesha kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni upande ambao hauko tayari kutoa fursa nyingine kwa diplomasia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *