Kiongozi Muadhamu: Matamshi ya Trump ni fedheha kwa taifa la Marekani

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amekosoa matamshi ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani na kuyataja kuwa ni “fedheha” kwa taifa la Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *