Kiongozi Muadhamu awasamehe wafungwa zaidi ya 3,000 kwa mnasaba wa maadhimisho ya Mapinduzi ya Kiislamu

Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, ameidhinisha kusamehewa kikamilifu au sehemu ya adhabu wafungwa zaidi ya 3,000 katika maadhimisho ya mwaka wa 46 wa Mapinduzi ya Kiislamu.