Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameutaka Ulimwengu wa Kiislamu kutoruhusu suala la Palestina lisahaulike akisisitiza ulazima wa kukabiliana na mauaji ya kimbari yanayoendelea kufanywa na utawala ghasibu wa Israel katika Ukanda wa Gaza unaozingirwa.
Related Posts
Baghaei: Russia ina mchango athirifu katika mazungumzo ya nyuklia kati ya Iran na Marekani
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Russia ina nafasi na mchango athirifu katika kushughulikia faili…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa Russia ina nafasi na mchango athirifu katika kushughulikia faili…
Safari ya Netanyahu nchini Hungary na kupuuzwa agizo la ICC la kumkamata mhalifu huyo
Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbán ametangaza kuwa nchi hiyo inajitoa katika Mahakama ya…
Afisa mmoja mwandamizi wa serikali ya Waziri Mkuu wa Hungary Viktor Orbán ametangaza kuwa nchi hiyo inajitoa katika Mahakama ya…
Gabon wafanya uchaguzi leo; ni wa kwanza baada ya mapinduzi ya kijeshi
Wananchi wa Gabon leo Jumamosi wanashiriki kwenye uchaguzi wake wa kwanza wa rais tangu yalipotokea mapinduzi ya kijeshi yaliyomaliza utawala…
Wananchi wa Gabon leo Jumamosi wanashiriki kwenye uchaguzi wake wa kwanza wa rais tangu yalipotokea mapinduzi ya kijeshi yaliyomaliza utawala…