Kiongozi Muadhamu atoa mkono wa pole kufuatia mripuko ‘mchungu’ kusini mwa Iran

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ametoa salamu za rambirambi kwa familia zinazoomboleza wahanga wa mripuko “mchungu” katika Bandari ya Shahid Rajaee katika mji wa kusini wa Bandar Abbas, na kutaka uchunguzi wa kina ufanyike kuhusiana na tukio hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *