Kiongozi Muadhamu: Ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kkiislamu ya Iran amesema kuwa, ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina.