Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Sayyid Ali Khamenei leo Jumapili mchana amekutana na baadhi ya makamanda wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mnasaba wa Mwaka Mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia na kusisitiza kuwa, adui amekata tamaa vibaya na amekasirishwa na maendeleo ya Jamhuri ya Kiislamu. Wakati huo huo amesisitiza kwamba, pamoja na kuwepo mapungufu, lakini kuna maendeleo pia yamepatikana, inabidi hayo nayo tuyaone.
Related Posts
Takriban watu 70 wauawa katika mapigano ya Puntland, Somalia
Takribani watu 70 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mapigano ya saa 24 kati ya wapiganaji wa Islamic State…
Takribani watu 70 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia mapigano ya saa 24 kati ya wapiganaji wa Islamic State…
Russia: Israel haina haki ya kuzungumzia miradi ya nyuklia ya Iran
Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov, amesema kuwa utawala wa Israel hauna haki…
Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa mjini Vienna, Mikhail Ulyanov, amesema kuwa utawala wa Israel hauna haki…

Vikosi vya jeshi la majini la Yemen vimeanzisha mashambulizi makubwa kuwahi kutokea dhidi ya meli za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu
Vikosi vya jeshi la majini la Yemen vimeanzisha mashambulizi makubwa kuwahi kutokea dhidi ya meli za kivita za Marekani katika…
Vikosi vya jeshi la majini la Yemen vimeanzisha mashambulizi makubwa kuwahi kutokea dhidi ya meli za kivita za Marekani katika…