Kiongozi Mkuu: Muqawama ni dhihirisho la Mabaathi, na matunda yake ni kupigishwa magoti utawala wa Kizayuni Ghaza na Lebanon

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Vuguvugu la Muqawama ambalo lilianza baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu limeweza kuyaamsha mataifa ya Kiislamu na hata yasiyo ya Kiislamu kwa kutumia akili na imani na kuupigisha magoti utawala wa Kizayuni mbele ya Ghaza na Lebanon.