Khatibu ya Swala ya Ijumaa: Rais wa Marekani ni muungaji mkono wa ugaidi

Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amewapongeza wananchi Waislamu wa Iran kwa kujitokeza kwa wingi katika maandamano ya Bahman 22 ya kuadhimisha miaka 46 ya Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya mwaka 1979.