Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Mazungumzo na Marekani ni kujidhalilisha

Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya Tehran amesema kuwa, kufanya mazungumzo na Marekani ni kujidhalilisha. Amesisitiza kuwa, taifa la Iran ni la hamasa ya Karbala na ‘Ashura na kamwe halikubali kudhalilishwa.