Kenya yaiamuru TikTok iondoe maudhui za kingono zinazowalenga watoto

Mamlaka ya Mawasiliano nchini Kenya imeutaka mtandao wa kijamii wa China waTikTok uondoe maudhui za kingono zinazowalenga na kuwaathiri watoto.