Kenya kuwarudisha nyumbani raia wake 64 waliokwama Myanmar

Kwa mujibu wa shirika la habari la KBC, Wizara hiyo imesema Balozi wa Kenya nchini Thailand amekuwa akiwasiliana kila siku na raia hao huku maafisa wakitafuta njia mbadala za kuwarudisha nyumbani.