Watu wanne wameuawa jana jioni karibu na kituo cha polisi cha Pangani mjini Nairobi baada ya bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari kulipuka. Maafisa wa polisi wawili ni miongoni mwa watu waliyouawa katika mlipuko huo.
Imechapishwa:
Mizozo ya kijeshi duniani