Kellogg: Marekani inataka ‘kuvunja’ muungano wa Russia na Iran

keith Kellogg Mjumbe maalumu wa Washington kwa ajili ya Ukraine na Russia amesema kuwa Marekani inataka kuvunja muungano uliopo kati ya Russia, Iran na China.