Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisheria na Kimataifa ametangaza kuwa, Rafael Grossi Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atiomiki (IAEA) atawasili Tehran Jumatano wiki hii na atakuwa na mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran.
Related Posts
Russia: Kwa mtazamo wa mkuu wa UNICEF watoto wa Ghaza si muhimu kama wenzao wa Ukraine
Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amemshutumu mkuu wa UNICEF kwa kuwapa kipaumbele watoto wa Ukraine kuliko watoto wenzao…
Balozi wa Russia katika Umoja wa Mataifa amemshutumu mkuu wa UNICEF kwa kuwapa kipaumbele watoto wa Ukraine kuliko watoto wenzao…
Hizbullah ya Lebanon: Tutaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Palestina hadi Israel itakapoangamizwa
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza katika taarifa yake kuwa itaendelea kuwasaidia na kushikama na wananchi wa Palestina hadi utawala…
Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesisitiza katika taarifa yake kuwa itaendelea kuwasaidia na kushikama na wananchi wa Palestina hadi utawala…
Jenerali Qa’ani: Marekani, Israel ‘ni dhaifu kivitendo’ mbele ya Iran na Muqawama
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kislamu nchini Iran amesema kuwa licha ya bwabwaja…
Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kislamu nchini Iran amesema kuwa licha ya bwabwaja…