Kauli ya Larijani kuhusu Iran kuunda silaha za nyuklia yatikisa vyombo vya habari vya Kizayuni

Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali Larijani, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mahojiano na televisheni ya hapa nchini, alipotishia kwamba endapo itaendelea kuandamwa na vitisho, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua ya kuunda silaha za nyuklia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *