“Katika kupunguzia gharama za maisha, serikali ilichukua hatua nne ambazo ziliwaokolea wananchi kiasi cha shilingi trilioni 5.72…

“Katika kupunguzia gharama za maisha, serikali ilichukua hatua nne ambazo ziliwaokolea wananchi kiasi cha shilingi trilioni 5.72…

“Katika kupunguzia gharama za maisha, serikali ilichukua hatua nne ambazo ziliwaokolea wananchi kiasi cha shilingi trilioni 5.724… fedha ambazo zimenufaisha zaidi ya wananchi milioni 11.03…” — msikilize Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, akieleza hatua nne zilizochukuliwa na serikali ili kupunguza gharama za maisha kwa wananchi.

Akiwasilisha taarifa ya hali ya uchumi kwa mwaka 2024 na Mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2025/2026, Prof. Kitila amesema kuwa endapo serikali isingechukua hatua ya kubeba gharama hizo, wananchi wangelazimika kuzibeba wenyewe.

#AzamTVUpdates
✍Alpha Jenipher
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *