Katika #bajetikuu2025 , Serikali imetangaza msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) katika maeneo mawili muhimu;

-Mafuta ya kula yanayozalishwa ndani ya nchi kwa kutumia mbegu zinazozalishwa nchini, msamaha huu utadumu kwa muda wa mwaka mmoja ili kupunguza gharama za uzalishaji na bei kwa walaji.

– Gesi asilia inayouzwa kwenda kwenye vituo vya kushindilia gesi (Compressed Natural Gas – CNG Stations) kwa ajili ya matumizi ya magari, hatua hii inalenga kuweka unafuu kwa wawekezaji, kuvutia ujenzi wa zaidi ya vituo 80 vya CNG nchini,
kupunguza utegemezi wa mafuta na kusaidia juhudi za kupunguza uzalishaji wa hewa ya ukaa.

#bajetikuu2025
#azamnewsupdates
✍@official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *