Katibu Mkuu wa UN: Hali ya maafa katika Ukanda wote wa Ghaza imevuka kiwango cha kutasawirika

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema: “hali ya kibinadamu katika eneo lote la Ukanda wa Ghaza imetoka kwenye hali mbaya na kuwa mbaya zaidi na kuvuka kiwango cha kuweza kutasawirika”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *