Katibu Mkuu wa UN: Ghaza ni uwanja wa mauaji, kuwahamisha Wapalestina hakukubaliki

Katika tamko kali zaidi ambalo amewahii kutoa hadi sasa, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres ametoa indhari kuhusu hali ya janga la kibinadamu inayozidi kuwa mbaya katika Ukanda wa Ghaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *