Katibu Mkuu wa UN atoa wito wa kufanyika upatanishi ili kumaliza mzozo wa Kongo DR

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, sasa ni wakati wa kumaliza mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.