Katibu Mkuu wa Hizbullah: Muqawama utaendelea hadi ushindi kamili

Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema Muqawama utaendelea hadi ushindi utakapopatikana na kuangamizwa kikamilifu utawala ghasibu na vamizi wa Kizayuni wa Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *