Katibu Mkuu wa Hizbullah: Hatutasalimu amri na wala hatutashindwa

Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sheikh Naim Qassem, amesema katika hotuba aliyotoa kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuwaenzi makamanda waliouawa shahidi kwamba: Haj Imad Mughniyah alikuwa shakhsia wa kiusalama na kijeshi na mbunifu ambaye aliwaongoza Mujahidina kwa msingi wa moyo wa imani.