Kan’ani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Uzayuni inasikika zaidi

Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: Kuendelea kuwepo utawala wa Kizayuni wa Israel kunaelekea ukingoni, na bila shaka, mhalifu wa kivita kama Netanyahu anaharakisha kuporomoka kwa utawala huo ndani na kimataifa kwa kuendelea kusalia madarakani.