Kampuni ya DP World iliyowekeza katika Bandari ya Dar es salaam yatarajia kuwekeza kiasi cha shilingi bilioni 104 katika awamu y…

Kampuni ya DP World iliyowekeza katika Bandari ya Dar es salaam yatarajia kuwekeza kiasi cha shilingi bilioni 104 katika awamu y…

Kampuni ya DP World iliyowekeza katika Bandari ya Dar es salaam yatarajia kuwekeza kiasi cha shilingi bilioni 104 katika awamu ya pili ya mpango wa uwekezaji zitakazotumika katika ununuzi wa mitambo, ujenzi wa milango ya bandari na maboresho ya maeneo ya kuhifadhi na kuhudumia shehena.

#Azamnewsupdates
✍ Warda John
Mhariri | @official_jennifersumi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *