Kampuni ya dawa ya India inavyochochea matumizi ya dawa za kulevya Afrika Magharibi

Mchanganyiko huu wa dawa haujaidhinishwa kutumiwa popote duniani na unaweza kusababisha matatizo ya kupumua na kifafa. Ukiitumia sana inaweza kukuua. Licha ya hatari hizo, dawa hizi za kulevya ni maarufu mitaani katika nchi nyingi za Afrika Magharibi